
Aomba kura kwa kumwaga dua kwa wajumbe, apenya
Mwanza. Mungu hamtupi mja wake. Ndivyo unavyoweza kuelezea ushindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti alioupata Mariam Mashibe baada ya kuanza kuwaombea wajumbe zaidi ya 300 kisha kutaja sera zake na kuomba kupigiwa kura. Mariam ambaye ni mkulima wa pamba na mazao mchanganyiko wilayani Kwimba, alikuwa miongoni mwa wagombea 13 wa nafasi tano ya ujumbe wa…