
Mitambo ya umeme Kidatu na Mtera kufanyiwa ukarabati
Ifakara. Katika kuhakikisha kuwa Umeme unapatikana kwa uhakika Naibu Waziri Mkuu Dk Doto Biteko amesema Serikali imeanza ukarabati wa mitambo ya kufua umeme katika kituo cha Kidatu na Mtera mkoani Dodoma. Dk Biteko amesema hayo leo Jana Mei 31, 2024 wakati wa uzinduzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme kwenye gridi ya Taifa kilichopo…