
Ukweli pambano la Mwakinyo, Mghana kukwama uko hivi
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameshindwa kupanda ulingoni kutetea mkanda wa WBO Afrika kutokana aliyekuwa promota wa pambano hilo, Shomari Kimbau kumzingua mwakilishi wa WBO, Samir Captain kutoka Ghana. Mwakinyo usiku wa kuamikia leo alitakiwa kupanda ulingoni kutetea ubingwa huo dhidi ya Patrick Allotey wa Ghana, lakini hata hivyo, haikuwezakana baada ya…