
NAIBU WAZIRI MKUU, DK BITEKO KUFUNGUA MAONESHO WIKI YA NISHATI JADIDIFU DAR ES SALAAM
Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania (TAREA), kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati kwa udhamani mkuu wa SUN KING, inawaalika Wananchi wote katika Maonesho ya Kitaifa ya Nishati Jadidifu (Renewable Energy) yatakayofunguliwa Alhamisi Juni 6 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri Nishati, Dk Doto Biteko na kufungwa na Waziri wa Kilimo, Husein Bashe Ijumaa,…