
NCC yaja na mbinu kukabili migogoro sekta ya ujenzi
Dar es Salaam. Ili kuharakisha umalizaji wa migogoro katika sekta ya ujenzi, Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) linaendesha mafunzo ya utatuzi wa migogoro nje ya mahakama kwa wadau mbalimbali wa sekta hiyo. Hatua hiyo inaelezwa itasaidia kupatikana kwa suluhu ya haraka kwa migogoro inayoibuka katika sekta hiyo, hivyo kuchangia kazi za ujenzi ziendelee na…