Taifa Gas yazindua mpango wa punguzo la bei ya mitungi ya gesi kwa wanafunzi vyuo vikuu
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kampuni ya kuuza nishati ya gesi ya kupikia majumbani ya Taifa Gas Limited imezindua mpango wake maalum unaotoa punguzo la bei ya nishati hiyo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ikiwa ni muendelezo wa jitihada za kampuni hiyo kufanikisha adhma ya serikali inayolenga kuhakikisha asilimia 80 ya wananchi wanatumia nishati safi…