
Nyumba mradi wa Samia Kawe zanunuliwa kabla ujenzi wake kuisha
Dar es Salaam. Nyumba 100 zilizojengwa awamu ya kwanza na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika mradi wa Samia Housing Scheme maeneo ya Kawe, Dar es Salaam zimeshanunuliwa zote kabla hazijaisha, huku ikiliingizia shirika hilo Sh31 bilioni. Hayo yamesema leo Jumapili Juni 30,2024 na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Hamad Abdallah alipokuwa akitoa taarifa…