SERIKALI KUWEKA MKAZO WA MAENDELEO VIJIJINI KUPITIA TARURA
Na. Catherine Sungura, Dodoma Serikali itaendelea kuweka mkazo wa kipekee katika kusukuma maendeleo vijijini kama njia sahihi ya kuchochoa uchumi jumuishi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo wakati wa kupitisha Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2024/2025 na Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka…