Wafanyabiashara Kagera, Morogoro nao wagoma, Songwe wakimbilia Zambia
MGOMO wa wafanyabiashara kutoka katika mikoa mbalimbali nchini imendelea kushika kasi baada ya mikoa ya Morogoro na Kagera kuungana na wengine wa mikoa nane kutofungua maduka yao. Aidha, kwa upande wa Songwe wafanyabiashara na wananchi wa mji wa kibiashara wa Tunduma nao wamehamia upande wa pili wa nchi jirani ya Zambia ili kupata huduma. Anaripoti…