Baadhi wafunga, wengine wafungua maduka Karikakoo
Dar es Salaam. Unaweza kusema kauli ya Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam, Martin Mbwana ya kuacha uamuzi wa kufunga au kufungua maduka katika eneo hilo imetekelezwa kwa vitendo. Hiyo ni baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuendelea na shughuli zao kama kawaida huku wengine wakiendelea kufunga. Ni mgomo ulioanza Jumatatu ya Juni 24,…