Blinken akaribisha hatua za rais wa Kenya kutuliza mvutano – DW – 27.06.2024

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amezikaribisha juhudi za Rais William Ruto wa Kenya za kutuliza ghasia zilizosababisha vifo na uharibifu wa mali lakini akahimiza kujiuzuia na kufanyika uchunguzi kuhusu madai ya unyanyasaji. Katika mazungumzo, Blinken amemshukuru Ruto kwa kuchukua hatua za kutuliza mivutano na kuahidi kufanya mazungumzi na waandamanaji na asasi…

Read More

Wakulima wa pamba walalamikia mizani kuchakachuliwa

Mwanza. Wakulima wa zao la Pamba mkoani hapa wamelalamikia baadhi ya wanunuzi kuchakachua mizani inayotumika kununulia zao hilo, hali inayowasababishia kupata hasara. Wakizungumza leo Jumatano Juni 26, 2024 na Mwananchi, wakulima hao wamesema kitendo hicho kinawafanya baadhi yao kukata tamaa na kushindwa kuendelea na kilimo hicho. “Mizani inayokuja kupima pamba tunaomba wapimaji wasiwe wanaichezea na…

Read More

Utaalamu hafifu kikwazo utambuzi wa mapema wa saratani -4

Dar es Salaam. Utaalamu hafifu kwa watoa huduma za afya ngazi za msingi na uhaba wa vifaatiba kubaini ugonjwa wa saratani mapema, ni sababu ya wengi kuanza tiba kwa kuchelewa. Changamoto nyingine inatajwa ni kutokutolewa rufaa mapema inapotokea mgonjwa ana viashiria vya saratani kukua, kusambaa mwilini au kuugua mara kwa mara. Serikali imekiri kuwapo kwa…

Read More

Dk Biteko mgeni rasmi kongamano la MSMEs

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wajasiriamali wadogo, wa chini na wa kati (MSMEs). Kongamano hilo linaloandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communictions Limited (MCL), litafanyika Julai 5, mwaka huu, badala ya Juni 27 iliyotangazwa awali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na…

Read More

MAWAKILI WA SERIKALI WATAKIWA KUTENGA MUDA NA KUSIKILIZA WANANCHI KUPITIA MAENEO YAO.

Na Mwandishi wetu Dodoma Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amezindua Kliniki ya Ushauri na elimu ya Sheria kwa Umma inayokusudia kusogeza huduma za msaada wa kisheria kw Wananchi ili kupunguza migogoro mbalimbali miongoni mwa jamii na kupata suluhu ya changamoto za kisheria zinazowakabili. Kliniki hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu…

Read More

VIJANA WENYE BUNIFU MBALIMBALI TANGA KUPATIWA FURSA ZA RUZUKU

Mwakilishi wa Shirika la Botnar Foundation Philotheusy Mbogoro akizungumza wakati akifungua mafunzo maalumu ya ufundi na Udereva wa Bajaji za Mfumo wa Umeme yaliyoanza leo kwenye Shule ya Sekondari Tanga School ambapo vijana zaidi ya 40 wanapata mafunzo hayo.Mmoja kati ya Washirika na Wafanyakazi wa Tanzania Open Innovation Organization na Robotech Abdulwahab Issa akizungumza wakati…

Read More