Walimu wa Tanzania sasa kupimwa kama mawakili
Dar es Salaam. Ule mchakato wanaopitia wahitimu wa shahada za sheria, unaowataka kufanya mtihani maalumu, ili wafuzu kuwa mawakili, sasa umeangukia katika taaluma ya ualimu. Kutokana na hilo, wahitimu wa ngazi mbalimbali za taaluma ya ualimu, baada ya kuanza kwa mchakato huo, ili wawe walimu watapaswa kufanya mtihani maalumu wa kupima uwezo wao. Hiyo ni…