Ruto auondoa kabisa muswada wa fedha 2024 – DW – 26.06.2024
Akilihutubia taifa kwa mara ya pili tangu maandamano kulitikisa taifa kwa saa kadhaa zilizopita, rais William Ruto alisisitiza kuwa amesikiliza kilio cha wakenya na kwamba wao ndio muhimu. Rais Ruto pia ametangaza hatua za kubana matumizi ili kuweza kumudu mahitaji ya serikali na taifa kwa jumla. Ruto aliyebadili kauli na kuwa mpole, alitoa pia rambirambi…