AMREF yaipongeza NMB kuchangia Sh60 milioni uzazi ni maisha Z’bar
SHIRIKA la AMREF Health Africa – Tanzania, limeipongeza Benki ya NMB kwa kuchangia vifaa tiba vya Sh. 20.17 milioni katika mwaka wa mwisho wa Kampeni ya Uzazi Salama ijulikanayo kama Uzazi ni Maisha, hivyo kufanya mchango wa jumla wa benki hiyo kufikia Sh. 60.17 milioni katika kipindi cha miaka mitatu tangu kampeni hiyo ianze mwaka…