Mastaa wapya Azam waanza kupigishwa tizi
NYOTA wapya wa Azam FC, Yoro Mamadou Diaby kutoka Yeleen Olympique ya Mali, Adam Adam (Mashujaa) na Wacolombia Jhonier Blanco (Aguilas) na Ever Meza kutoka Leonnes wameanza kupigishwa tizi mapema ikiwa ni siku chache tu kabla ya kuripoti kambini Chamazi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao. Ever Meza Wachezaji hao ambao tayari wamejumuishwa katika…