Simba yamfuata beki mpya Yanga
DILI la Simba limebuma baada ya kutaka kumnyampia beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka, ambaye hawakujua kama tayari ameshamalizana na Yanga. Boka ni mchezaji wa kwanza kusaini Yanga baada ya uongozi wake kukubali kumuuza mchezaji huyo ambaye alibakiza mkataba wa mwaka mmoja na kikosi hicho. Kupitia Mwanaspoti iliandikwa kuwa, Mkongomani huyo atakwenda kuwa mrithi wa…