Bocco aisapraizi Simba Dar | Mwanaspoti

SIKU chache tu baada ya kupewa ‘Thank You’ na Simba, aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco amewasapraizi Wekundu wa Msimbazi hao baada ya kupata timu mpya wakati wenyewe wakijiandaa kumuaga rasmi. Bocco anayeshikilia rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu Bara akifunga mabao 154 katika misimu 16 akiipiku rekodi iliyokuwa…

Read More

Wimbi la talaka, vifo kukutanisha mawaziri watatu

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Pindi Chana amesema amepanga kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kutafuta suluhisho la ongezeko la vifo na wimbi la talaka katika jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kwa mujibu…

Read More

Wastaafu waliopunjwa mafao watangaziwa neema

Dodoma. Serikali imetangaza habari njema kwa wastaafu waliostaafu kuanzia Julai mwaka 2022, ambao ni 17,068 kuwa watalipwa mapunjo yao ya mafao ya mkupuo kulingana na kikotoo kilichotangazwa Juni 13, 2024. Kiasi cha mafao ya mkupuo kiliongezwa kutoka asilimia 33 hadi 40 kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na 33 watapata…

Read More

MRADI WA BEGINIT KUWAFUNZA WANAFUNZI KUTUMIKIA JAMII ZAO

MRADI wa Beginit unaojihusisha na kutoa mafunzo ya Uongozi kwa Watoto Leo Juni 25,2024 umetoa mafunzo ya uongozi kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Temeke na Toangoma wenye lengo la kuwajengea uwezo wa kutafuta fursa katika jamii na kutatua changamoto zilizopo na zabaadae. Hayo ameyasemwa na Elen Tropinova,ambaye ni Mkuu wa Mradi huo wa Beginit…

Read More

DC Itunda akemea imani potofu zinazosababisha ubakaji

VITENDO vya ubakaji, mauaji yatokanayo na visa vya wivu wa mapenzi na imani za kishirikina, vimetajwa kuwa ni moja ya changanoto zinazoikumba jamii hali inayosababisha kukithiri kwa mmomonyoko wa maadili. Anaripoti Ibrahim Yassin … Songwe, (endelea). Kauli hiyo imetolewa jana Jumanne na Mkuu wa wilaya ya Songwe, Solomoni Itunda katika hitimisho la mkutano wa injili…

Read More

Kanuni mikopo ya asilimia 10, kukamilika Juni 30

Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema maandalizi ya kanuni za utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu nchini yatakamilika Juni 30, 2024. Hayo yamesemwa leo Jumatano Juni 26, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoana Serikali za Mitaa, (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa wakati akijibu hoja za wabunge…

Read More

Wajasiriamali kupewa mafunzo kuongeza ubora kwenye bidhaa

Morogoro. Jumla ya  waelimishaji  20 wa ujasiriamali kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido), wamepewa mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo wa kufundisha wajasiriamali nchini. Lengo kuu la mafunzo hayo ni kuwawezesha wajasiriamali hao kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kuziwezesha kuingia kwenye ushindani wa soko ndani na nje ya nchi….

Read More