Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Access Afrika Oluseyi Kumapayi akutana na kufanya mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu Tanzania Emmanuel Tutuba
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba (katikati) akimsikiliza kwa makini Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Access Afrika Oluseyi Kumapayi wakati alipofanya ziara ya kikazi kwenye ofisi za BoT Jijini Dar es Salaam hapo jana. Hivi karibuni, benki ya Access ilitangaza kukamilisha utaratibu wa kuinunua African Banking Corporation (Tanzania) Limited (“BancABC Tanzania” au…