Wafanyabiashara Mbeya, Mwanza wakomaa na mgomo, Iringa nao walianzisha

Mbeya/Iringa/Mwanza. Wakati wafanyabiashara katika mkoa ya Mbeya na Mwanza wakiendelea na mgomo waliouanza jana, mkoani Iringa nako wamegoma. Mgomo wa wafanyabiashara hao wa maduka jijini Mbeya na Mwanza ulianza jana Juni 25, unalenga kuishinikiza Serikali kuondoa utitiri wa kodi na tozo mbalimbali ambazo si rafiki kwa wafanyabiashara. Leo Jumatano Juni 26, 2024, Mwananchi Digital ambayo…

Read More

MSONDE ATAKA UFUATILIAJI UFUNDISHAJI SOMO LA KINGEREZA

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde amewataka wakurugenzi wa Halmashauri nchini kufuatilia kwa karibu maendeleo ya Elimu Msingi hasa ufundishaji wa somo la kingereza ili kuhakikisha wanafunzi wanapata ujuzi na umahiri katika lugha ya kingereza. Dkt. Msonde amesema hayo kwenye kikao kazi cha majumuisho ya ziara ya katika mkoa…

Read More

Mgodi wa Barrick waamriwa kuifidia familia Sh150 milioni

Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imemuamuru meneja mkuu wa kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold Mine Ltd (ABG), kuilipa fidia ya Sh150 milioni familia ya Chacha Kiguha, mkazi wa Kijiji cha Nyamwaga, wilayani Tarime, kwa madhara iliyoyapata kutokana na shughuli za mgodi. Awali, Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza iliamuru maneja huyo kuilipa…

Read More

TUJENGE DESTURI YA KULIPA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU

  John Francis Haule   Tukiwa tunaelekea kupokea bajeti mpya ya serikali ya 2024/2025 ikijadiliwa bungeni kwa mujibu wa sharia,pia nasi katika jamii tukieendelea kuifatilia kwa ukaribu na umakini mkubwa sio kwa kuwa ni wanasiasa “la hasha” bali ni kwa kuwa bajeti ndiyo taswira na mwelekeo wa uchumi wanchi kwa kipindi cha mwaka.   Tumeshudia…

Read More

Matumaini mapya chanjo ya Ukimwi, yakinga wasichana 2,134

Dar es Salaam. Ni faraja katika mapambano ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU), baada ya watafiti kupata chanjo ya kinga kupitia dawa ya PrEP iliyo katika mfumo wa sindano. Utafiti uliofanywa kwa wasichana 2,134 nchini Uganda na Afrika Kusini ulibaini hakuna maambukizi ya VVU yaliyoonekana katika jaribio la msingi la PrEP ya sindano,…

Read More

Rais Ruto aibua ‘uhaini’ maandamano ya Gen Z

Nairobi. Rais wa Kenya, William Ruto amesema maandamano ya amani ya Generation Z yaliingiliwa na wahalifu, akisisitiza Serikali itazingatia mamlaka yake ya kikatiba ya kulinda Taifa kutokana na vitendo vya ‘uhaini’. Amesema tukio la vurugu katika maandamano ya leo Juni 25, 2024 linatoa somo la namna ya kukabiliana na vitisho vya usalama wa Taifa. “Ninawahakikishia…

Read More