Jeshi la Polisi Mwanza latoa kauli mgomo wa wafanyabishara
Mwanza. Wakati baadhi ya wafanyabiashara jijini Mwanza wakigoma na kufunga maduka, Jeshi la Polisi limewataka walioridhia kufungua maduka na wafanye biashara kwa amani kwa kuwa ulinzi umeimarishwa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Juni 25, 2024, na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa baada ya kufanya doria yenye lengo la kuangalia hali ya usalama…