Ukishangaa ya Bocco, utayaona ya Chama
KATIKA maisha omba sana bahati. Kuna vitu huwezi kuvipata hadi uwe na bahati tu. Wakati mshambuliaji John Bocco akitangazwa Kustaafu soka, Clatous Chota Chama bado anagombewa na Simba na Yanga huku, Saido Ntibanzokinza hakuna anayemtaka. Inafurahisha kuona Bocco anastaafu wakati Chama akigombewa. Inasikitisha kuona mfungaji bora wa Simba kwa msimu wa pili mfululizo, Ntibazonkiza anaachwa…