Serikali yataja sababu kuchelewa kusajili taasisi za kidini
Dodoma. Serikali imesema ucheleweshaji wa usajili wa kudumu wa taasisi na madhehebu ya dini nchini unasababishwa na mambo kadhaa, ikiwamo muda wa matazamio kubaini kama hakuna dosari kwa jamii. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo amesema hayo bungeni leo Juni 25, 2024 alipojibu swali la msingi la mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda….