WCF YAELEZA UTAYARI KATIKA ZAMA ZA AKILI MNEMBA (ARTIFICIAL INTELLIGENCE)
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma, amewahimiza waajiri nchini kutumia mifumo ya TEHAMA kupata huduma zitolewazo na Mfuko huo ili kupunguza gharama na kuokoamuda. Dkt. Mduma ameyasema hayo wakati akitoa salamu za Mfuko kwenye mkutano wa mwaka wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) ulioambatana na kongamano la wadau lililokuwa…