Al-Nassr ikikubali mkataba wa €40m Szczesny.

Cristiano Ronaldo anaripotiwa kuungana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Juventus Wojciech Szczesny, huku Al-Nassr wakipanga uhamisho wa Euro milioni 40. Kipa huyo wa zamani wa Arsenal, kulingana na Tuttosport, yuko tayari kumaliza miaka saba huko Turin. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 alisemekana kutaka kusalia katika msimu huu wa joto, lakini ameona makubaliano…

Read More

Tunawaunga mkono Kariakoo, mifumo ya kodi inaua mitaji

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema anawaunga mkono wafanyabiashara wa Kariakoo walioanza mgomo jana Jumatatu kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao na kuwaomba wafanyabiashara wengine Tanzania nzima waungane na wenzao. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akihutubia wananchi na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Monduli jana, Mbowe amesema…

Read More

FAMILIA ACHENI KUONEANA AIBU KATIKA MALEZI YA WATOTO

Na Khadija Kalili, Michuzi Tv IMEELEZWA kuwa kutokana na tabia ya jamii kuoneana aibu ndani ya familia kumesababisha vitendo vya ukatili kuendelea ndani ya jamii ambapo hali hiyo imezipeleka familia pabaya hasa watoto kufichwa baadhi ya mambo Mkoa wa Pwani umesema kuwa utachukua hatua kali kwa watu wanaowafanyia ukatili watoto na kuwakwamisha kufikia ndoto zao…

Read More

HISIA ZANGU: ‘Thank you’ nyingine ya Kariakoo kwa Saido  

HATIMAYE na mchezaji anayeitwa Sadio Ntibazokinza naye amepewa ‘Thank You’ katika ukurasa wa Instagram wa Simba. Mashabiki wa Simba walisubiri kwa hamu habari hii. Na kweli, mkataba wake ulipomalizika Simba wakafanya hivyo kwa haraka. Safari ya Saido katika soka la Tanzania imetatanisha kidogo. Wakati anatua nchini kucheza Yanga kuna mashabiki hasa wa watani wa Yanga,…

Read More

Prince Dube afunguka anavyojifua kwa 2024/25

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Azam FC ambaye kwa sasa anatajwa kujiunga na Yanga msimu ujao, Prince Dube amesema yupo fiti kwa ajili ya mapambano baada ya kukaa nje kwa muda mrefu. Dube ambaye alionyesha ubora kwenye mchezo wa Wape Tabasamu uliochezwa mjini Morogoro ukizikutanisha timu Job na Kibwana akitupia bao katika ushindi wa mabao 6-2…

Read More

Ngalema apewa miaka miwili Prisons

TIMU ya Tanzania Prisons imeanza usajili na tayari imemalizana na  beki wa kushoto Aboubakar Ngelema, ambaye msimu ulioisha alikuwa na Dodoma Jiji. Mwanaspoti imepata taarifa za uhakika za Ngalema kusaini miaka miwili katika kikosi hicho na muda wowote wanaweza wakamtangaza. Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya Prisons kimesema: “Ngelema ni mchezaji halali wa Prisons, kwani…

Read More