Hivi ndivyo Simba, Chama walivyomalizana
TAARIFA zinabainisha kwamba, ile filamu ya Clatous Chama na Simba imefikia mwisho baada ya mchezaji huyo mkataba wake kumalizika na ishu ya kuongezewa muda wa kusalia Msimbazi ikishindikana, huku ishu mpya ikiwa namna pande hizo zilivyomalizana. Kiungo huyo raia wa Zambia, alikuwa kwenye majadiliano marefu na viongozi wa Simba akiwemo Mwenyekiti wa Bodi na rais…