DC Pangani ang’aka waliozima mashine za kukusanya ushuru
Pangani. Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mussa Kilakala ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani humo kufuatilia mashine za kukusanya ushuru maarufu kama ‘Pos’ ambazo zimezimwa wakati zinaonekana zimekusanya fedha za halmashauri, ili wahusika wachukuliwe hatua. Akizungumza wakati wa kutoa taarifa ya Serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miezi…