Kariakoo ngoma mbichi | Mwananchi
Dar es Salaam. Licha ya Serikali kutangaza kuwa itafanyia kazi malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, ikiwemo kusitisha kamatakamata iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baadhi ya wafanyabiashara wamesema Rais Samia Suluhu Hassan ndiye anapaswa kutoa tangazo hilo.. Wamesema kauli ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo haiwezi kuwafanya wafungue maduka, huku…