Kilichoelezwa na Serikali baada ya kikao na viongozi wa Kariakoo
Dodoma. Serikali imesitisha kazi ya ukaguzi wa risiti za kielektroniki (EFD) na ritani za kodi iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo. Uamuzi huo umekuja baada ya kikao kilichowashirikisha wafanyabiashara nchini wakiongozwa na Mwenyekiti wa…