DKT . MOLLEL: WATUMISHI WA AFYA LONGIDO KUPATIWA NYUMBA
Na WAF, Longido- Arusha Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, ameziagiza Timu za Afya za mkoa na wilaya kutoa kipaumbele katika kuwapatia makazi watumishi wa sekta ya afya wa Wilaya ya Longido. Dkt. Mollel amezitaka timu za uendeshaji wa huduma za afya (CHMT) wilayani Longido na RHMT Mkoa wa Arusha wakati wa ziara yake…