
Muhas yaonya matumizi holela ya dawa kwa wajawazito
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali imeshauriwa kuweka msisitizo kuzuia matumizi ya dawa kiholela kwa wajawazito ili kuepusha madhara kwani zikitumika kwa muda mrefu husababisha ufubavu. Hatua hiyo inafuatia baada ya utafiti uliofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa kubaini wajawazito wengi wanatumia dawa kwa kiasi kikubwa. Dk. Edward Mhina ambaye ni mwanafunzi…