Urais wa Hungary utaimarisha au kuudhoofisha Umoja wa Ulaya? – DW – 24.06.2024
Haikuwa suala la kushangaza wakati Hungary ilipoweka wazi kauli mbiu yake mapema wiki iliyopita yenye maneno ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump katika kipindi chake cha uongozi wa miezi sita cha urais wa baraza la Umoja wa Ulaya. Maneno hayo ya “Ifanye ulaya kuwa kubwa zaidi” yalizusha wasiwasi kwa baadhi ya nyuso mjini Brussels….