MBUNGE KABUDI AIOMBA SERIKALI KUWEKEZA KIUCHUMI MKOANI MOROGORO
Na Janeth Raphael MichuziTv – Bungeni Dodoma Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi ameishauri Serikali kuwekeza katika Mkoa wa Morogoro ambao unaweza kusukuma uchumi wa Nchi kwa kuwekeza katika nishati ya maji katika Mabwawa yote Matatu ya Kihansi, Kidatu na Bwawa la Mwalimu Nyerere. Mbunge huyo ametoa kauli hiyo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia hoja…