Hii hapa hatari ya mzazi kubagua watoto

Dar es Salaam. Upo usemi wa wahenga usemao; “uchungu wa mwana aujuaye mzazi.” Lakini pia hawakuishia hapo, wakaongeza mwingine usemao; “Hakuna mapenzi ya dhati zaidi ya yale yatokayo kwa mzazi.” Licha ya kauli hizo za mababu zetu kuiasa jamii, bado mambo ni tofauti. Wapo baadhi ya wazazi hawana upendo na wengine wana ubaguzi wa waziwazi…

Read More

TANROADS YAMPA TANO RAIS SAMIA KUTOA BIL 101.2 KUANZA UJENZI WA KM 73 ZA LAMI BARABARA YA KAHAMA-BULYANHULU JCT – KAKOLA

Baada ya tarehe 16 Machi 2024 Serikali kusaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct – Kakola yenye urefu wa Kilomita 73 kwa kiwango cha lami, tayari Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation imeanza utekelezaji wake. Pamoja na Barabara hiyo kufungua fursa za kiuchumi za madini, kilimo, misitu na utalii katika mikoa ya…

Read More

Xavi: Msihofu, kina Mkude, Bocco wapya wanakuja!

KATIKA safari ya kutafuta mafanikio kuna nyakati nyingi binadamu hupitia na kukumbana nazo kati ya zile za furaha na huzuni. Hakuna wakati mbaya kama kukata tamaa. Haijalishi umejaribu mara ngapi, umeshinda mangapi, cha msingi ni kuendelea kupambana na kujifunza zaidi na zaidi. Mfano mzuri ni kocha wa timu ya vijana ya Simba, Mohamed Mrishona Mohamed…

Read More

TETESI ZA USAJILI: Duke Abuya katika rada za Wagosi, simba…

WAGOSI wa Kaya wapo bize na maandalizi ya msimu ujao wa mashindano, hususani Kombe la Shirikisho Afrika na kwa sasa imeanza mazungumzo na kiungo mshambuliaji Mkenya, Duke Abuya anayekipiga Singida Black Stars (zamani Ihefu). Nyota huyo inaelezwa huenda akaondoka kikosini humo baada ya mkataba aliokuwa nao Ihefu kumalizika, huku kukiwa hakuna mazungumzo mapya ya kumuongezea,…

Read More

Kocha mpya Simba mambo freshi ni suala la muda tu

HUKO Msimbazi mambo ni moto, kwani baada ya kuanza kutambulisha vifaa vipya ikianza na Lameck Lawi kutoka Coastal Union, kwa sasa inajiandaa kumtangaza kocha mpya na mashine nyingine mpya zitakazoingia kambini kuanzia kesho Jumatatu. Simba inataka kutambulisha benchi la ufundi ili kuanza kambi ikiwa kamili kwa ajili ya msimu ujao, huku Msauzi, Steve Khompela akitajwa….

Read More

Usajili mpya…Gamondi atoa neno Yanga SC

WAKATI mabosi wa Yanga wakiendelea na mchakato wa kuboresha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi amechekelea na kutoa neno kwa mambo yanavyokwenda klabuni hadi sasa katika ishu za usajili mpya. Yanga ambayo inafanya mambo yake kimya kimya na kesho Jumatatu itaanza kuweka hadharani wachezaji ilioachana…

Read More

Mrithi wa Inonga Simba huyu hapa

MASTAA wa Simba wanaanza kujumuika pamoja kuanzia kesho Jumatatu, lakini utamu zaidi ni dili la mrithi wa beki wa kati aliyetimkia FAR Rabat ya Morocco, Henock Inonga limefikia pazuri baada ya menejimenti ya mchezaji huyo kutua Dar es Salaam ili kukutana na Mohamed ‘Mo’ Dewji kumaliza kazi. Simba inampigia hesabu Nathan Fasika Idumba anayechezea kwa…

Read More