
WATEJA MSD MIKOA KAGERA, GEITA WAASWA KULIPA MADENI YA BILIONI 6.5
Na Mwandishi Wetu Wadau wa afya katika Mikoa ya Kagera na Geita Waaswa kulipa madeni wanayodaiwa na MSD, yanayokadiriwa kufikia shilingi bilioni 6.5, ili kuiwezesha MSD kutekeleza majukumu yake kwa weledi katika kununua, kutunza, na kusambaza bidhaa za afya. Sambamba na kulipa washitiri wanaofanya nao biashara, ili kuufanya mnyororo wa upatikanaji wa bidhaa za afya…