Matukio ya utekaji, ukatili watoto yamuibua Profesa Chris Maina

Dar es Salaam. Serikali imetakiwa kuweka mikakati itakayosaidia kuwabaini wanaojihusisha na vitendo vya ukatili dhidhi ya watoto ukiwemo utekaji, ili kutokomeza matukio yanayoendelea nchini. Ushauri huo unatolewa katika kipindi ambacho, kumeripotiwa matukio kadhaa ya madai ya kutekwa na kutoweka kwa watoto nchini. Hata hivyo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni alikiri kuwepo kwa matukio…

Read More

Kampuni ya Heineken Beverages yapanua soko kwa kuinunua Bia ya Windhoek

Meneja wa Kampuni ya Heineken Beverages International hapa nchini, Obabiyi Fagade (kulia) akiongea katika mkutano na waandishi wa habari,(kushoto) ni , Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo Beers, Wines and Spirits, Jerome Rugemalila Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo Beers, Wines and Spirits, Jerome Rugemalila (katikati) akiongea katika mkutano na waandishi wa habari wengine pichani…

Read More

Hali mbaya kiuchumi kwa mawakili yamkera Sungusia

Dodoma. Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Harold Sungusia amesema anasikitishwa na baadhi ya mawakili kuacha taaluma hiyo na kujiingiza kwenye biashara ndogondogo kujikimu kimaisha. Sungusia ameyasema hayo Julai 31, 2024 wakati mkutano mkuu wa Chama cha Wakili Welfare Mkoba, kinachojumuisha mawakili wa kujitegemea na Serikali. Amesema wataendelea kuhamasishana na kufanya kazi kwa pamoja…

Read More

NCHIMBI AMALIZIA ‘KIPORO’ WAPINZANI MCHINGA

-Awapokea madiwani pekee wa CUF na ACT na wenzao mamia walioamua kujiunga CCM Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo Jumatano, 31 Julai 2024, akiwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la Mchinga, kwa ajili ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kutoka…

Read More