
DKT. ABBAS AWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA MALIASILI NA UTALII
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewaomba wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya SABASABA kwa lengo la Kujifunza na kuona jinsi serikali ilivyofanya jitihada katika uhifadhi. Ombi hilo amelitoa leo Julai 2,2024 Jijini Dar es Salaam alipotembelea Banda la wizara ya maliasili na Utalii,katika Maonesho…