Uzayuni Umevunjwa – Masuala ya Ulimwenguni

Mtoto akisubiri kujaza vyombo vya maji huko Gaza. Credit: UNRWA Maoni na James E. Jennings (Atlanta, Georgia) Jumatano, Julai 03, 2024 Inter Press Service ATLANTA, Georgia, Julai 03 (IPS) – Uzayuni umevunjwa. Imekamilika kama falsafa ya kisiasa na haiwezi kudumu kwa muda mrefu. Baada ya kupata upinzani mkubwa wa umati wa watu na nchi kote…

Read More

TIRDO YASHIRIKI KWENYE MAONESHO SABASABA

SHIRIKA la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania(TIRDO) wameendelea kutoa elimu katika Maonesho ya Kimataifa ya Dar Es Salaam maarufu kama Sabasaba yaliyoanza rasmi Juni 28 na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 13 Julai 2024. Maonesho hayo yanayokutanisha wafanyabishara na wajasiriamali kutoka kila pande ya dunia ,TIRDO imeshiriki kwa kuonesha teknolojia mbalimbali za kitaalamu na za kiubunifu….

Read More

NAIBU WAZIRI NYONGO- MAONESHO SABASABA NI FURSA KUTANGAZA NA KUWAKARIBISHA WAWEKEZAJI NCHINI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb.) amesema Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara maarufu (Sabasaba) ni fursa muhimu ya kutangaza na kuwakaribisha wawekezaji ili kuona fursa mbalimbali za uwekezaji nchini. Ameyasema hayo leo tarehe 03 Julai, 2024 katika mahojiano maalumu aliyofanya baada ya kutembelea Taasisi zilizo chini ya…

Read More

TANESCO YASHINDA TUZO YA UTOAJI HUDUMA BORA SABASABA

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeshukuru wadau kwa kutambua mchanguo wao katika utoaji huduma bora kwa wananchi na kupelekea kupata tuzo ya mtoa huduma bora iliyotolewa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya 48.ya biashara ya kimataifa. Akizungumza mara baada ya kupata tuzo hili Afisa masoko TANESCO makao makuu Innocent…

Read More

Lema ataka kauli ya Rais matukio ya utekaji

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema Rais Samia Suluhu Hassan hakutakiwa kutoa mchango wa kugharamia matibabu ya mtu anayedaiwa kutekwa bali aagize vyombo vyake vya ulinzi na usalama kuwakamata watekaji na waliotekwa wapatikane. Lema amesema Rais kwa nafasi yake ya Amiri Jeshi Mkuu anapaswa kuhakikisha anasimamia usalama, ulinzi na…

Read More