Vita vya Gaza vinaendelea huku watu waliohamishwa kwa nguvu wakikosa nafasi ya makazi – Masuala ya Ulimwenguni

“Maelfu wanajificha ndani UNRWA shule…na majengo ya serikali,” shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi wa Kipalestina liliambia UN News, na kuongeza kuwa wengine “Tayari wameanza kurejea nyuma, wakituambia juu ya ukosefu wa nafasi katika maeneo mengine”. UNRWA pia ilisisitiza maonyo kwamba hali ya maisha ni “zaidi ya kustahimilika”, kwa sababu ya milima ya taka…

Read More

MKURUGENZI WA TUME YA USHINDANI (FCC) ATOA NENO KUHUSU BIDHAA BANDIA,AWAKARIBISHA SABASABA WAWEKEZAJI.

      TUME ya Ushindani nchini (FCC) imesema itahakikisha Mwananchi nchini haumizwi na bidhaa zisizo na ubora ikiwemo kusimamia sheria ya ushindani nchini inayodhibiti bidhaa hizo. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa FCC, William  Erio,wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la FCC lilopo kwenye maonesho ya 48 ya…

Read More

Kukosekana elimu sababu watu kukimbia majiko ya umeme

Dar es Salaam. Wakati kampeni ya matumizi ya nishati safi ikiendelea kupigiwa chapuo kila sehemu, Wakala wa Umeme Vijijini (Rea) umesema kukosekana kwa elimu ni sababu ya watu wengi kuogopa kutumia majiko ya umeme kupikia, huku ikiwataka wananchi kuacha woga. Wito huo unatolewa ikiwa ni kampeni ya  matumizi ya kuni na mkaa ili  kuunga mkono…

Read More

Diwani Kata ya Ilala ajivunia utekelezaji wa Ilani

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Diwani wa Kata ya Ilala Saady Kimji na  viongozi wengine wa Chama cha Mapinduzi(CCM) wa Kata hiyo wametembelea miradi mbalimbali,  huku akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya chama hicho  kwa kipindi cha 2023 hadi 2024. Akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Kata ya Ilala leo Julai 4, 2024…

Read More

UNDP yaionyesha njia Tanzania ya kuvuta uwekezaji zaidi

Dodoma. Shirika la Kimataifa la Maendeleo (UNDP) limesema ili Tanzania iweze kupanda zaidi daraja la uwezo wa kukopesheka (credit rating) na hivyo kuvuta uwekezaji zaidi ni lazima kuboresha usimamizi wa uchumi. Julai 2024, Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na ufanyaji tathmini kwa nchi kujua uwezo wake wa kukopesheka (Fitch Rating) ilieleza kuwa Tanzania bado ina uwezo…

Read More

Wadau wapendekeza njia kupambana na kukatika kwa intaneti

Dar es Salaam. Wakati watumiaji wa mtandao wa intaneti wakizidi kuongezeka nchini, wadau wa sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameshauri watoa huduma hizo watafute njia mbadala pale inapotokea hitilafu. Msingi wa hoja hiyo umetokana na sakata la kukatika kwa mtandao wa intaneti Tanzania kwa zaidi za siku mbili kuanzia Mei 12, 2024 lililosababishwa…

Read More