
MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA TIB ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA FEDHA SABASABA
Na. Peter Haule, WF, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania – TIB, Bi. Lilian Mbassy, ametembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam, ambapo amezipongeza Idara, Vitengo na Taasisi za…