MichezoYANGA YAFANYA DUA KWAAJILI YA MANJI Admin1 year ago01 mins 24 Uongozi wa Young Africans SC na wazee wa klabu hiyo, leo wamefanya dua maalum kwaajili ya kumuombea aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wao Yusuf Manji aliyefariki dunia Juni 30, nchini Marekani. Cc; @azamtv #KonceptTvUpdates Post navigation Previous: KUTANENI KUPANGA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI BAJETI- NAIBU WAZIRI PINDANext: Hersi aongoza dua maalum ya Manji