
Kuimarika kwa Sekta Binafsi kutasaidia ajira kwa Vijana – Waziri Jaffo
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jaffo, amesema kuimarika kwa sekta binafsi kutasaidia kuongeza ajira kwa vijana wanaohitimu elimu ya juu nchini. Dk. Jaffo aliyasema hayo leo, Julai 6, 2024, wakati wa Siku Maalum ya China iliyoambatana na Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kitaifa (Sabasaba) yanayofanyika katika Viwanja…