WAZIRI NDEJEMBI: UTENDAJI WA OSHA UNARIDHISHA

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ameeleza kuridhishwa na utendaji wa Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ambao umeimarika kutokana na matumizi ya mifumo ya TEHAMA ambayo imeboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za usalama na afya nchini. Ametoa kauli…

Read More

Haki, si Uadhibu, kwa Wasichana wa Asili Walionyanyaswa Kimapenzi nchini Peru – Masuala ya Ulimwenguni

Mabweni ya wasichana wa kiasili wa watu wa Awajún, katika makao wanamoishi na kupokea elimu ya lugha mbili ya kitamaduni, katika mkoa wa Condorcanqui, jimbo la Amazonas, kaskazini-mashariki mwa Peru. Credit: Kwa Hisani ya Rosemary Pioc na Mariela Jara (lima) Jumatatu, Julai 08, 2024 Inter Press Service LIMA, Julai 08 (IPS) – Hofu kuu inayowakabili…

Read More

SANLAM INVESTMENTS EA LIMITED YAZINDUA MIFUKO YA UWEKEZAJI, OFISI TANZANIA

* CMSA yawataka wadau kushirikiana na Serikali katika kuwawezesha wananchi kiuchumi MAMLAKA Ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA,) imewataka wadau wa masoko ya mitaji kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuwezesha wananchi kiuchumi na kutekeleza Mpango Kazi wa Serikali wa njia mbadala za kugharamia miradi ya maendeleo. Hii itawezesha Serikali na Sekta Binafsi kupata rasilimali…

Read More

Iran yanadi fursa za uwekezaji maonesho ya Sabasaba

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewataka wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji zilizoko nchini humo ili kukuza kiwango cha biashara baina ya nchi hizo. Akizungumza leo Julai 8,2024 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Iran kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), Balozi wa Iran nchini Tanzania,…

Read More

CCM waweka mikakati kupata wagombea bora 2024/25

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaomba Watanzania waendelee kukiamini kwa kuwa kimeweka mikakati kuhakikisha wanapata wagombea bora wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Ahadi hiyo imetolewa leo Julai 8,2024 na Katibu Mwenezi CCM Taifa, Amos Makalla, wakati wa mkutano wa hadhara katika Jimbo la Segerea…

Read More

Ndejembi:OSHA na BRELA wekeni mifumo ya kusomana

*Mtendaji Mkuu OSHA abainisha Mipango mikakati ya utoaji huduma kwa wananchi na wawekezaji Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Serikali imesema kuwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kushirikiana na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)ili mifumo yao isomane waweze kutambua kampuni na wawekezaji ambao wamekuja nchini ili waweze kuwatambua na kuwafikia…

Read More