Kuzuiliwa kiholela na kutokujali kumeenea nchini Libya, inaonya Türk ya UN – Masuala ya Ulimwenguni

“Usafirishaji haramu wa binadamu, utesaji, kazi ya kulazimishwa, unyang'anyi, njaa katika hali zisizovumilika za kizuizini” “hufanywa kwa kiwango kikubwa…bila kuadhibiwa”, Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu aliambia Nchi Wanachama. “Ufukuzaji wa watu wengi, uuzaji wa binadamu, ikiwa ni pamoja na watoto” umeenea nchini Libya, Bwana Türk aliendelea, akisisitiza kwamba ushirikiano kati ya serikali na mashirika…

Read More

KTO, TaTEDO WATOA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI MAJIKO SANIFU KWA WAKUFUNZI VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI (FDC’s)

Washiriki waishukuru KTO kwa kuwezesha mafunzo hayo, waahidi kupeleka maarifa hayo kwa jamii MAFUNZO Maalum ya utengenezaji majiko sanifu ya kupikia kwa kutumia kuni chache na gharama nafuu yanatarajiwa kuwaanufaisha wananchi kupitia wakufunzi wa ufundi kutoka vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC’s) ambao wamepewa mafunzo hayo na Taasisi za Huduma za Nishati Endelevu (TaTEDO) na…

Read More

IAA YAENDELEA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) ni moja ya Taasis za Wizara ya Fedha ambazo zinashiriki Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo katika barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengi ambayo chuo kinaonesha na kueleza ni kozi mbalimbali walizonazo kwa ngazi ya Astashahada…

Read More

Zelenskyy ni hodari wa kusukuma misaada inayohitaji Ukraine, lakini uanachama wa NATO bado ni ngumu.

Rais wa Ukrain Volodymyr Zelenskyy amethibitisha kuwa baharia mahiri wa mahusiano ya kimataifa katika kuilinda nchi yake iliyoharibiwa na vita, huku akijipendekeza hadharani na wakati mwingine akilalamika kwa sauti kubwa ili kupata usaidizi wa kijeshi unaohitaji kujilinda dhidi ya uvamizi wa Urusi. Lakini, anapohudhuria mkutano wa kilele wa wiki hii wa viongozi wa NATO mjini…

Read More

NITAENDELEZA ALIPOISHIA MAHIMBALI- MHANDISI SAMAMBA

-Asisitiza ushirikiano, amani, upendo kufikia matarajio ya Sekta -MAHIMBALI amweleza mlango uko wazi kutoa ushauri kwa Sekta -STAMICO Yasema uongozi wake ulikuwa wa Manufaa Makubwa kwa Shirika Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema ataendeleza pale alipoishia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Kheri Mahimbali kutekeleza majukumu na kusimamia masuala yote yanayohusu…

Read More

Aliyetamani pacha wawili, ajifungua wanne

Geita. Mkazi wa Nyankumbu, Wilaya na Mkoa wa Geita, Elizabeth Vicent (30) amejifungua watoto wanne ikiwa kama majibu ya maombi yake kupata watoto zaidi na matamanio ya mumewe ya kupata watoto pacha. Mwanamke huyo ambaye alikuwa watoto wengine watatu, alijifungua pacha hao Julai 3, 2024 katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Geita na watoto hao…

Read More

Jaji Siyani aonya ucheleweshaji kesi

Lushoto. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapher Siyani amewataka majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuhakikisha wanashughulikia mashauri mapema na kuondoa mianya yote inayochelewesha mashauri hayo, ili haki ipatikane kwa wakati. Siyani amenena hayo wakati akifungua mafunzo elekezi ya majaji wanne wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania jana Julai 8, 2024 katika…

Read More