
England yatinga fainali za Euro 2024 – DW – 11.07.2024
Xavi Simons wa Netherlands alifunga bao la kwanza katika dakika ya saba ya mchezo, lakini nahodha wa England Harry Kane alisawazisha katika dakika ya 18 kwa mkwaju wa penati baada ya kufanyiwa rafu katika eneo la hatari. Wakati kila mmoja akitarajia mpambano huo ungeendelea hadi kwenye muda wa ziada, Watkins aliwaamsha mashabiki wa England katika dakika ya…