Wanawake watajwa kuwa mstari wa mbele kupinga ukatili wa kijinsia

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma, amesema wanawake wamekuwa mabalozi wa kupinga ukatili wa kijinsia na kuchangamkia fursa za kiuchumi ili kuendeleza kipato chao. Alitoa kauli hiyo leo, Julai 12, wakati akifungua Jukwaa la Wanawake Viongozi katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa. “Wanawake wanapambana…

Read More

Ujerumani yalia na njama ya kumuua mkuu wa kampuni ya silaha – DW – 12.07.2024

Kikinukuu maafisa wa Marekani na magharibi ambao haikuwataja majina, kituo cha televisheni cha CNN kiliripoti kuwa Marekani iliiarifu Ujerumani kuwa serikali ya Urusi ilikuwa na mpango wa kumuuwa Armin Papperger, mkuu wa kampuni ya silaha ya Rheinmetall. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alikataa kutoa ufafanuzi kuhusu ripoti hiyo baada ya kuulizwa na waandishi wa habari wakati…

Read More

Kesi ya ukahaba yaibua mapya, hakimu kuwashtaki waendesha mashtaka

Dar es Salaam. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Sokoine Drive, Dar es Salaam, Lugano-Rachae Kasebele amewashtaki Mahakama Kuu, waendesha mashtaka katika kesi ya ukahaba inayowakabili washtakiwa watano, baada ya kuidharau mahakama hiyo kwa kushindwa kutekeleza amri alizotoa kwao. Hakimu Kasebele amefikia hatua hiyo baada ya amri mbili alizotoa Julai 8,2024 dhidi ya upande wa…

Read More

RAIS DKT. SAMIA AIPA HONGERA NSSF

Na MWANDISHI WETU. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kuelezwa mafanikio mbalimbali ambayo NSSF imeyapata katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wake. Pongezi hizo zimetolewa tarehe 13 Julai, 2024 wakati alipotembelea banda la NSSF kwenye…

Read More

MTU WA MPIRA: Simba msichonge sana, subirini kwanza ligi ianze

USAJILI wakati mwingine ni kama kamari. Unaweza kupatia. Pia unaweza kukosea. Ni ngumu kubetia usajili utakliki moja kwa moja. Hutokea mara chache sajili zikabamba. Ilitokea kwa Emmanuel Okwi alipotua Simba mara ya kwanza na hata alipokuwa akija na kuondoka. Lakini alichemka aliposajiliwa Yanga. Kuna Kipre Tchetche alipotua Azam. Usajili wake ulikuwa na maana kubwa. Azam…

Read More

GOLDEN WOMEN WASHAURIWA KUENDELEA KUWAFIKIA WAHITAJI

Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Fedha , Bi. Jenifa Christian Omolo (wapili kulia), akizungumza na baadhi ya Watoto, Frolentina Aloyse (watatu kulia) na Sharifa Sungura (wanne kulia), wanaolelewa katika Kituo cha Huduma cha SAFAAD, kilichopo Chamwino mkoani Dodoma baada ya kutembelea kituo hicho. Na: Josephine Majura na Asia Singano WF, Dodoma.   Umoja wa Wanawake wa…

Read More

Vodacom yatangaza washindi wa msimu wa 3 wa Vodacom Digital Accelerator

  VODACOM Tanzania Plc leo imetangaza Wajasiriamali chipukizi (Startup) zilizoibuka vinara wakati wa kuhitimisha msimu wa tatu wa Programu yake ya Vodacom Digital Accelerator ijulikanayo kama Demo Day. Tukio hilo limeshuhudia mafanikio ya kipekee likiwa na washindi saba baada ya kukamilisha mafunzo ya uwezeshaji kwa muda wa miezi mitatu ambapo hatimaye wamepatikana washindi watatu. Anaripoti…

Read More

ALIYEKUWA KATIBU WA CCM AHAMIA CUF – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amempokea aliyewahi kuwa Katibu msaidizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Othman Dunga.   Profesa Lipumba amemkaribisha leo Julai 13, 2024 wilayani Kondoa akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliojumuisha viongozi wote wa kitaifa wa chama hicho.   Amevitaka vyama vya siasa wilayani hapo…

Read More

Huawei and Vodacom Empower Tanzania Startups with Transformative Learning Tour

By Our Correspondent Huawei, in partnership with Vodacom, has successfully concluded a week-long exchange learning program for seven promising Tanzanian startups. This initiative, part of the Vodacom Digital Accelerator Program, is aimed at fostering innovation and entrepreneurship in the country by providing opportunities for startups to learn from global leaders in the tech industry. Group…

Read More