Wasaidizi wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wanaripoti uhamishaji mkubwa na mahitaji muhimu katika Jiji la Gaza – Masuala ya Ulimwenguni

Alisema Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEFShirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) na washirika wengine walikuwepo kwenye safari. “Timu ilisema wale waliokimbia makazi yao wanahitaji haraka chakula, maji, huduma ya afya na ulinzi,” Bw. Dujarric alisema wakati wake. muhtasari wa kila siku kutoka New York. “Pia walishuhudia jinsi…

Read More

HISPANIA MABINGWA EURO 2024, YAILAZA UINGEREZA 2-1

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TIMU ya Taifa ya Hispania imefanikiwa kunyakua kombe la Euro 2024 mara baada ya kuichapa Uingereza mabao 2-1 katika fainali ambayo imepigwa kwenye dimba la Olympiastadion (Berlin) nchini Ujerumani. Hispania walianza kupata bao kupitia kwa Nico Williams dakika ya 47 kipindi cha pili akipokea pasi kutoka kwa nyota Yamal. Dakika…

Read More

Maafisa wakuu wa misaada wanatoa wito wa kuwepo kwa mshikamano zaidi na uungwaji mkono kwa Haiti – Masuala ya Ulimwenguni

Ingawa mzozo huo umeibua mahitaji makubwa, mpango wa kibinadamu wa karibu dola milioni 680 uliozinduliwa Februari unafadhiliwa chini ya robo. “Ni wazi sana kwa watu wengi wa Haiti kwamba wanalipa gharama kubwa ya vurugu, tena, ambazo zimeharibu nchi,” Edem Wosornu, Mkurugenzi wa Operesheni na Utetezi katika shirika la Umoja wa Mataifa la kutoa misaada ya…

Read More

Wakazi Dar hifadhini maji, kukosekana kwa saa 15

Dar es Salaam. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) imetangaza kuwepo kwa ukosefu wa maji siku ya Jumanne, Julai 16, 2024 kwa muda wa saa 15 kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 usiku. Dawasa imetoa taarifa hiyo leo Jumapili, Julai 14, 2024 kwa wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo…

Read More

Mbowe: Miradi ya maendeleo kwa wananchi si hisani

Dar/Siha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka Watanzania kuacha kutukuza miradi ya maendeleo wanayojengewa na Serikali kwa  kuwa ni wajibu wao na si hisani. Mbowe ametoa kauli hiyo leo Julai 14, 2024 alipohutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Nasai wilayani Siha, Mkoa wa Kilimanjaro. Mbowe alionekana kukerwa na kitendo…

Read More