MichezoMadenti wapiga pedeli wafanya kweli Admin1 year ago01 mins 22 OMARI Idd, mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Kange ameibuka bingwa wa mbio za baiskeli za kuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu wa 1446 zilizofanyika Kange jijini hapa. Post navigation Previous: UZINDUZI WA VIHENGE NA MAGHALA YA KISASA KATAVI, HATUA KUBWA KATIKA SEKTA YA KILIMO – MWANAHARAKATI MZALENDONext: UDSM NA CHUO KIKUU CHA ZHEJIANG CHINA KUSHIRIKIANA UBORESHAJI MASOMO YA SAYANSI