Makandarasi wapewa siku 14 ujenzi barabara Dar

Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam limewapa wakandarasi siku 14 za uangalizi katika ujenzi wa barabara na endapo watashindwa hawatasita kuvunja nao mkataba. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Julai 15, 2024 na Meya wa Jiji hilo, Omar Kumbilamoto katika hafla ya kusaini mikataba na wakandarasi watakaojenga barabara 20 zilizopo ndani ya jiji hilo kwa…

Read More

Mahakama Kuu yaridhia maombi ya wakili Kitale kuishtaki TLS

Mwanza. Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetoa ruhusa kwa wakili Steven Kitale kuwasilisha maombi ya mapitio ya kisheria dhidi ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kuhusu uhalali wa wajumbe wa kamati ya uchaguzi ya chama hicho. Pia kuhusu TLS kupandisha ada za wanachama wake kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka (AGM) kutoka Sh118,000 hadi Sh200,000. Hata…

Read More

CCM, Chalamila watofautiana sakata la machinga Simu2000

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Manispaa ya Ubungo, kuzingatia maoni ya wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga katika mpango wake wa kuliendeleza Soko la Simu2000. Kauli hiyo ya CCM inajibu kile kilichoonekana kama hali ya kutoelewana kati ya Machinga na manispaa hiyo, baada ya kuamua kulikabidhi eneo hilo kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo…

Read More

Nenda rudi za mahakamani zawachosha washtakiwa

Dar es Salaam. Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji, Najit Joginda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumpangia tarehe ambayo ataenda mahakamani hapo kwa ajili ya kusomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo na sio kwa ajili ya kesi yake kutajwa. Joginda, maarufu Kipaya, ametoa maelezo hayo leo Jumatatu, Julai 15, 2024 mbele ya Hakimu…

Read More

TIC yalenga uwekezaji wa Sh26.6 trilioni

Dar es Salaam. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeeleza kuwa, mwaka huu kinalenga kusajili uwekezaji wa Dola 10 bilioni za Marekani (Sh26.6 Trilioni). Leo Jumatatu, Julai 15 2024, Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Gilead Teri, amewaeleza waandishi wa habari kuwa lengo hilo limewekwa wakati nchi ikiendelea kuvutia uwekezaji mkubwa kutoka nje na ndani kwa kuwa na…

Read More

Mwanafunzi auawa Tabora, mwili wachomwa moto

Tabora. Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Deusdedit Katwale ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria watu wanaotuhumiwa na mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Kalunde, Salma Mussa (15). Salma ameuawa Julai 8, 2024 wakati akielekea shuleni na inadaiwa kuwa licha ya…

Read More

MWENGE WAZINDUA MRADI WA RUWASA WA MAJI MAGARA

Na Mwandishi wetu, Babati MWENGE wa uhuru umezindua mradi wa maji wa mamlaka ya wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) uliopo kijiji cha Magara Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara. Meneja wa RUWASA wilayani Babati, Felix Mollel akizungumza kwenye uzinduzi wa mradi huo na mbio za mwenge amesema utahudumia watu 5,137….

Read More