Baraza la wadhamini Yanga matatani

Dar es Salaam. Yanga imepokea hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.  Hukumu hiyo ambayo Mwananchi imeipata nakala yake inatokana na kesi ya msingi iliyofunguliwa Agosti 4, 2022 na walalamikaji Juma Ally na Geoffrey Mwaipopo, wakitaka kutotambulika kwa Baraza la…

Read More

Jinsi Mikakati Mahiri ya Hali ya Hewa Ilivyohuisha Sekta ya Mifugo Tanzania — Masuala ya Ulimwengu

Mfugaji akitazama kwenye upeo wa macho wakati wa mapumziko ya kuchunga ng'ombe katika Kijiji cha Ikolongo. Credit: Kizito Makoye/IPS by Kizito Makoye (iringa, tanzania) Jumanne, Julai 16, 2024 Inter Press Service IRINGA, Tanzania, Julai 16 (IPS) – Katika kutafuta maisha, wakulima na wafugaji wanaoishi Oldonyo Sambu, Jimbo la Kaskazini mwa Tanzania la Maasai, walikuwa wakipigania…

Read More

Serikali yapokea dozi chanjo ya ugonjwa wa Sokota

Arusha. Serikali imepokea dozi milioni 3.9 ya chanjo ya ugonjwa wa Sotoka kwa ajili ya mbuzi na kondoo kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa mataifa (FAO). Akipokea chanjo hiyo mkoani Arusha leo Jumanne Julai 16, 2024 baada ya kufungua kongamano linalohusisha sekta ya umma na sekta binafsi kuhusu ushirikiano katika utoaji wa…

Read More

Dereva wa basi la Samwel Coach chupuchupu jela miezi sita

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu dereva wa basi la Samwel Coach, Juma Rajabu kulipa faini ya Sh500,000 au kutumikia kifungo cha miezi sita jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumzuia ofisa uhamiaji Daudi Kasanzu kutekeleza majukumu yake. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne, Julai 16, 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu, Gwantwa…

Read More