Je, Wajerumani wanauonaje urathi wa Angela Merkel? – DW – 18.07.2024

Kansela wa zamani wa Ujerumani Angela Merkel amestaafu tangu karibu miaka miwili na nusu. Taasisi ya uchunguzi wa maoni ya YouGov ilifanya uchunguzi wakilishi kwa watu 2,300 nchini Ujerumani kutaka kufahamu namna wanavyomkumbuka. Asilimia 61 walisema hali ya nchi imekuwa mbaya tangu Merkel aondoke madarakani. Walipoulizwa kuhusu sababu za hili, asilimia 28 walisema kuwa “uongozi mbovu” ya serikali…

Read More

'Kulala kidogo kama dagaa', Ufilipino inapopitisha Sheria za Nelson Mandela kwa jela – Masuala ya Ulimwenguni

The Nelson Mandela Kanuni, ambayo wametajwa baada ya rais wa zamani wa Afrika Kusini ambaye alizuiliwa isivyo haki kwa miaka 27, wanashiriki sehemu muhimu katika jela na marekebisho ya adhabu nchini Ufilipino. Mbele ya Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela zinazowekwa alama kila mwaka tarehe 18 Julai, haya ndiyo unayohitaji kujua kuhusu Sheria na kile…

Read More

Usimamizi mbovu chanzo mradi wa mwendokasi kutokuwa na tija

Dar es Salaam. Ili kuondoa changamoto na upungufu uliopo katika uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT), Serikali imeshauriwa kuongeza usimamizi, kuzingatia rasilimali watu yenye utaalamu na kuanzisha bodi itakayoshughulikia masuala ya usafiri nchini. Ushauri huo umetolewa leo Julai 17, 2024 wakati wa mjadala ulioandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kupitia Mwananchi…

Read More

Mchungaji kortini akidaiwa kuua kwa kukusudia

Mwanza. Ernest George (37), amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka la mauaji ya kukusudia ya dereva, Majuto Seif. George, ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assembly of God (T.A.G), maarufu Mchungaji George amesomewa shitaka katika kesi ya mauaji namba 19830/2024, leo Jumatano Julai 17, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza. Amesomewa shitaka hilo na…

Read More